
AZAKI zataja sifa 10 za viongozi wa kuchaguliwa
ILANI ya asasi za kiraia (AZAKI), imetaja sifa 10 za kiongozi anayeweza kuisaidia nchi kimaendeleo, ikiwamo anayesimamia na kuheshimu Katiba, kulinda haki za binadamu na kuliunganisha taifa. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam … (endelea). Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Ole Ngurumwa, ameiambia MwanaHALISI kuwa sifa hiyo…