MAKAMU WA RAIS AJIANDIKISHA DAFTARI LA WAPIGA KURA BUHIGWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameshiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwaajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Kihanga Kijiji cha Kasumo Wilaya ya Buhigwe Mkoani Kigoma. Tarehe 12 Oktoba 2024. ………. Makamu wa Rais…

Read More

HALOPESA YAADHIMISHA MIAKA NANE,YAWAFARIJI WATOTO NYUMBA YA MATUMAINI JIJINI DAR ES SALAAM

HALOPESA kupitia kampuni ya Mawasiliano HALOTEL, kuelekea siku ya maadhimisho ya Kutimiza miaka 8 katika uazishwaji wa Huduma za HaloPesa pamoja na huhitimisha kilele cha huduma kwa wateja. HaloPesa inatambua mchango wa jamii kwa ujumla katika kufanikisha Mchango wake katika jamii. Mnamo tarehe 11/10/2024 katika kuadhimisha siku hiyo muhimu HaloPesa imeungana kwa pamoja kutembelea Shirika…

Read More

DC SUMAYE AONGOZA WANANCHI ZOEZI LA KUJIANDIKISHA

Na Ashrack Miraji Lushoto Tanga MKUU wa Wilaya ya Lushoto mkoani Tanga Zephania Sumaye amesema zoezi la undikishaji wananchi kwenye daftari la mkazi linaendelea vizuri, wananchi wamehamasika vituo vingi wameshajiandikisha na bado wanaendelea kujiandikisha. DC Sumaye amezungumza hayo Oktoba 11 mwaka huu 2024 mara baada ya kujiandikisha katika daftari la mkazi kwenye Kituo Cha Chake…

Read More

KAMPUNI YA USAFIRISHAJI SIMBA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUTOA MAHITAJI KITUO CHA WATOTO YATIMA

KATIKA Kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja Kampuni ya Wakala wa Forodha (SIMBA) Wameikumbusha Jamii Kuhakikisha wanatoa faraja kwa watu wenye uhitaji hasa vituo vya watoto Yatima. Akizungumza Afisa Mtendaji Mkuu wa Uendeshaji Gladness Mosha katika Kituo cha Watoto Yatima Cha Orphanage kilichopo Zinga Bagamoyo amesema Kwa Kutambua mchango mkubwa unaofanywa na wateja wao kwa…

Read More

TBS YAKAMATA TANI 20 ZA BIDHAA HAFIFU JIJINI DAR ES SALAAM

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limefanya operesheni maalumu katika Mkoa wa Dar es Salaam na kufanikiwa kukamata tani 20 ya bidhaa hafifu na zisizo na viwango. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 11,2024 Jijini Dar es Salaam, Meneja wa TBS Kanda ya Mashariki, Noor Meghji amesema katika operesheni hiyo walijikita…

Read More

TCRA YAWAHIMIZA VIJANA KUCHANGAMKIA FURSA ZA KIDIGITALI

  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewahimiza vijana nchini kuchangamkia fursa za kidijitali ikiwemo akili bandia (Artificial Intelligence), kwa kubuni mifumo itakayotatua changamoto za kijamii na hivyo kujipatia kipato.   Meneja TCRA Kanda ya Ziwa, Mhandisi Imelda Banali ametoa rai hiyo Ijumaa Oktoba 11, 2024 wakati wa Maadhimisho ya Wiki ya Vijana 2024 yanayofanyika katika…

Read More

TANZANIA NA ZAMBIA WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO KURAHISISHA BIASHARA KWA WAFANYABIASHARA WADOGO

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Balozi Dkt.John Simbachawene (katikati) akisaini Maktaba wa kurahisisha mazingira ya Biashara _Simplified Trade Regime_ Hafla ya utoaji saini ilifanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Izukanji uliopo Nakonde Nchini Zambia.Kushoto mwenye Miwani ni Mkuu wa Wilaya ya Mombo Mhe.Elias Mwandobe akishihudia Hafla hiyo. ….. Tanzania na Zambia…

Read More

MAJALIWA: VIJANA CHANGAMKIENI FURSA ZINAZOTOKANA NA MAENDELEO YA KIDIJITALI

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka vijana wachangamkie fursa zinazotokana na maendeleo ya teknolojia katika kujipatia kipato na kushiriki kukuza Uchumi wa Taifa. Amesema kuwa vijana wanapaswa kutumia mitandao ya kidijitali kutafuta fursa za masoko na upatikanaji wa bidhaa ili kufanikisha malengo ya kuifanya Tanzania kuwa Taifa lenye maendeleo endelevu kupitia nguvu ya vijana na teknolojia….

Read More