Viwango vya msaada wa chakula vya Gaza katika 'hatua mbaya' – Masuala ya Ulimwenguni

Njia za misaada muhimu kaskazini mwa Gaza zimekatishwa, na hakuna msaada wa chakula ambao umeingia huko tangu Oktoba 1, alisema Naibu msemaji wa Umoja wa Mataifa Farhan Haq, akinukuu taarifa kutoka Mpango wa Chakula Duniani (World Food Progamme).WFP) Vivuko vikuu kuelekea kaskazini vimefungwa na havitafikika ikiwa ongezeko la sasa litaendelea, aliongeza. WFP ilisambaza akiba yake…

Read More

CLUB YA YOUNG AFRICANS YAKABIDHI CHETI TAWI LA YANGA USA

Afisa mwamashishaji wa wanachama klabu ya Yanga Jimmy Kindoki (wa nne toka kushoto) akikabidhi cheti cha utambulisho wa tawi la Yanga USA ndani ya jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani uliopo Washington, DC aliyekipokea cheti ni Afisa Ubalozi Malik Abdul(wa tatu toka kushoto) ambaye alishawahikua kiongozi wa Yanga huko nyuma. Baba Levo (kulia) na…

Read More

MCHUNGAJI TENGWA AWATAKA WANASIASA KUTUMIA BUSARA KIPINDI CHA UCHAGUZI

Mwalimu Kiongozi wa huduma ya matengenezo ya kiroho Augustine Tengwa ameviomba vyama vya siasa nchini kutogombania madaraka kuilinda amani ya Tanzania Ametoa kauli hiyo Octoba 11 Jijini Dar es salaam wakati akizungumza na wanahabari kuhusu maono ambayo watumishi wamefunuliwa kuelekea uchaguzi kuwa kutakuwa na umwagikaji damu ya mauaji ya wenyewe kwa wenyewe. “Tuilinde amani tuliyonayo…

Read More

NIMESHIRIKI ZOEZI LA UANDIKISHAJI- DC MWANGA.

MKUU wa Wilaya ya Mlele Alhaj Majid Mwanga ameshiriki zoezi la kujiandikisha katika daftari la mpiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu huku akiwasisitiza wananchi kushiriki zoezi hilo. Alhaj Majid ameshiriki zoezi hilo akiwa na viongozi wenzake ambao ni Mwenyekiti wa Kitongoji cha Shama Steven Peleka,Katibu wa Tawi la CCM…

Read More

Mtanzania abainika kuambukizwa Mpox – Mwanahalisi Online

  WIZARA ya Afya imethibitisha kisa cha kwanza cha Mtanzania, kubainika amepata maambukizi ya homa ya nyani (Mpox). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Aidha, imesema Tanzania iko salama na hakuna mgonjwa wa Mpox aliyebainika hapa nchini hadi sasa. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Roida Andusamile, amesema Mtanzania huyo anayekadiriwa kuwa…

Read More