AWESO AUSHUKURU UBALOZI WA TANZANIA BERLIN/UJERUMANI KUBEBA AJENDA YA MAJI

Berlin, Ujerumani Waziri Aweso amehitimisha ziara yake nchini Ujerumani aipofika Berlin ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani ambapo ameushukuru Ubalozi wa Tanzania nchini humo kwa kuratibu, kuwa kiuongo na kufanikisha ushiriki wa Tanzania kwenye Mkutano wa Maendeleo Endelevu (Hamburg Sustainability Conference. Aidha Waziri Aweso ametoa shukrani za dhati kwa Mhe Hassani Iddi Mwamweta Balozi…

Read More

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura

Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akishiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, ametuma ujumbe wa wazi kwa vyama vya siasa kujipanga kikamilifu kwa uchaguzi huu badala ya kusubiria matokeo na kulalamika baadaye. Hili linahusiana na ukweli kwamba vyama vya upinzani, hususan CHADEMA, vimekuwa vikitumia muda…

Read More

TUMUENZI HAYATI MWL. NYERERE KWA CHAGUZI ZA HURU NA HAKI

Farida Mangube, Morogoro Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Kighoma Malima amewataka watanzania kumuenzi Hayati Mwalimu Julius Nyerere kwa maono yake ya kuwa na uchaguzi huru na wahaki nyakati zote ili kulinda tunu ya umoja, amani na upendo aliyeiacha kiongozi huyu. Rc Mlima amesema hayo wakati akifungua Kongamato la 21 la kumbukizi ya Hayati Mwalimu…

Read More

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WAHIMIZWA KUWAHAMASISHA WANANCHI KIJITOKEZA KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA MPIGA KURA

Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe William Lukuvi ametoa rai kwa viongozi wa vyama vya siasa viongozi wa dini viongozi wa kimila na viongozi wengine kushirikiana katika kuhimiza wananchi kwenda kujiandikisha kwa sababu ni haki yao. Wito huo umetolewa leo tarehe 11/10/2024 wakati wa…

Read More

WAZIRI MKUU KUZINDUA WIKI YA VIJANA KITAIFA.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 11, 2024 anazindua maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa mwaka 2024 inayofanyika katika viwanja vya Furahisha, jijini Mwanza. Maadhimisho hayo ni nyenzo muhimu ya kurithisha falsafa za maendeleo za Baba wa Taifa na historia ya Taifa kwa vijana wa Tanzania. Aidha, kupitia wiki hii Serikali na wadau wote wa…

Read More

Guterres Ampongeza Nihon Hidankyo Kwa Tuzo ya Nobel kwa Juhudi za Kuondoa Ubinadamu wa Silaha za Nyuklia – Masuala ya Ulimwenguni

Shirika la Japan Nihon Hidankyo waws leo limetunukiwa Tuzo ya Amani ya Nobel. Credit: Niklas Elmehed/Tuzo ya Nobel na Mwandishi wa IPS (umoja wa mataifa) Ijumaa, Oktoba 11, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Oktoba 11 (IPS) – Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres alipongeza shirika la ngazi ya chini la Japan…

Read More