Harris asema Trump anataka ‘madaraka yasiyodhibitiwa’ – DW – 30.10.2024

Akizungumza mbele ya umati mkubwa uliofurika katika bustani iliyoko karibu na Ikulu ya White House na Mnara wa Washington, Harris amesema atawasikiliza Wamarekani wakati wote hata kama hawatompigia kura. Alichagua eneo hilo la mjini Washington DC kwa sababu ndilo ambalo Mrepublican Trump alitumia kuuchochea umati uliovamia Jengo la Bunge mnamo Januari 6, 2021. Alisema Trump…

Read More

Wakulima Wadogo Huvuna Manufaa Yanayokua Kutoka Kwa Nishati ya Jua nchini Chile – Masuala ya Ulimwenguni

Wakazi wakiwa wamesimama nyuma ya kinyunyizio kinachomwagilia shamba la alfalfa kutokana na nishati inayozalishwa na paneli ya voltaic iliyosakinishwa kwenye mali ya Fanny Lastra huko Mirador de Bío Bío, Chile. Credit: Kwa hisani ya Fresia Lastra na Orlando Milesi (santiago) Jumanne, Oktoba 29, 2024 Inter Press Service SANTIAGO, Oktoba 29 (IPS) – Uzalishaji wa nishati…

Read More

CEO WA SHIRIKA LA LIGHT FOR THE WORLD (LFW) ATEMBELEA KLINIKI YA MACHO YA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA

Na Ludovick Kazoka, Dodoma. Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) Erwin Telemans wa Shirika la Light for the World (LFW) leo ametembelea Kliniki ya Macho ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH) kujionea huduma za macho. Ndugu Telemans ameahidi kuwa Shirika lake litaendelea kusaidia huduma za macho za BMH. “Tunapaswa kuendelea kusaidia huduma za Afya ikiwemo kuwafikia wananchi…

Read More

MIRADI 77 INAENDELEA KUTEKELEZWA NA TANROADS NCHINI

Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na utekelezaji wa miradi 77 ya ujenzi wa barabara na madaraja kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) yenye thamani ya Shilingi Trilioni 4.6. Aidha, Serikali kupitia TANROADS tayari imekamilisha kwa asilimia 100 miradi 25 ya ujenzi wa…

Read More