BUKUA MILIONI KUPITIA SHINDANO LA EXPANSE

BUKUA milioni leo kwa kucheza michezo ya Expanse Kasino ambayo inatapatikana kwenye tovuti ya Meridianbet, Kiurahisi kabisa unaweza kuingia kwenye droo ya mshindi wa shindano hilo kwa kuhakikisha unacheza michezo ya Kasino ya Expanse kadiri uwezavyo uweze kushinda. Shindano hili litakwenda kuhusisha michezo karibu yote ya Expanse na kila mteja ambaye atakua anacheza michezo hii…

Read More

Hayati Mwalimu Nyerere alikuwa alipenda Demokrasia

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Adam Kigoma Malima amesema kuwa misingi ya sasa ya Taifa, inayojumuisha uzalendo, umoja na siasa imara ni kutokana na juhudi zilizofanywa na hayati mwalimu Julius kambarage Nyerere za kuhakikisha kuwa Taifa linakuwa imara na utawala Bora RC Malima ameeleza hayo kwenye kumbukizi ya hayati mwl Julius kambarege nyerere, ambayo yamefanywa…

Read More

DHL na TotalEnergies zatangaza ubia mkubwa wa biashara

Mkurugenzi Mtendaji wa DHL Tanzania, Humphrey Pule (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Mtandao wa Vituko Vya Mafuta TotalEnergies, Abdul Rahim Siddique wakati kampuni hizo zolipozindua rasmi ushirikiano wa kibiashara Jijini Dar es Salaam Ijumaa. Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya DHL Express kwa kishirikiana na TotalEnergies Marketing Tanzania Limited, zimezindua ubia wa huduma zao, katika jitihada…

Read More

DC MPOGOLO AWATAKA TAHLISO KUKATAA KUTUMIKA

 Mkuu wa wilaya ya ilala Edward Mpogolo ameitaka Jumuia ya wanafunzi taasisi ya elimu ya juu Tanzania kutokubali kutumika. Mpogolo ametoa wito uwo jijini dar es salaam katika ukumbi wa kareemjee wakati anafungua mkutano mkuu wa tahliso wenye lengo la kupitisha marekebisho ya katiba yao.  Akizungumza na wajumbe wa mkutano uwo Mpogolo amewatahadharisha viongozi na…

Read More

Expanse Tournament imekuja kibabe – Mwanahalisi Online

  Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studios wamekujia na shindano kabambe ambalo litahusisha michezo kadhaa ya Kasino ambapo itatoa washindi kadhaa ambao watapata nafasi ya kuondoka na maokoto ya kutosha kama ilivyo kawaida ya mabingwa wa michezo ya kubashiri. Shindano hili litakwenda kuhusisha michezo karibu yote ya Expanse na kila mteja ambaye atakua anacheza michezo…

Read More

WANANCHI WAENDELEA KUPATA ELIMU KATIKA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU KUELEKEA KILELE CHA SIKU YA MAAFA DUNIANI OKTOBA 13

Wananchi mkoani Mwanza wameendelea kutembelea banda la Ofisi ya Sera, Bunge na Uratibu na kupewa elimu kuhusu masuala ya uratibu wa shughuli za Serikali ikiwemo ya menejimenti ya maafa, uwezeshaji wananchi kiuchumi katika maadhimisho ya Wiki ya Maafa ambapo Kitaifa yanafanyika Mkoani humo. Kaulimbiu ya maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kupunguza Maafa Duniani inasema;…

Read More