Mwanamboka Kaileta Samia Fashion festival

Siku ya leo umefanyika mkutano wa waandishi wa Habari juu ya tamasha la Samia Fashion Festival linatarajiwa kuzinduliwa, likiwaunganisha pamoja vipaji vikubwa vya mavazi vya Tanzania, wataalamu wa sekta hiyo, na wahusika wa kitamaduni likiandakiwa na wadau wa fashion nchini wakiongozwa na Khadija Mwanamboka akiwemo Martin Kadinda Tamasha hili limepewa jina kwa heshima ya Rais…

Read More

Wachache wajitokeza kujisajili uchaguzi wa mitaa Tanzania – DW – 11.10.2024

Haya ni maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27 mwaka huu, huku kukiwa na mwamko mdogo wa wananchi waliojitokeza kujiandikisha katika daftari hilo. Akizungumza Ijumaa mara baada ya kujiandikisha katika kitongoji cha Sokoine, wilayani Chamwino, Dodoma, Rais Samia aliwasisitiza Watanzania kujitokeza kujiandikisha kwani uchaguzi huu ndio unaotoa taswira ya uchaguzi mkuu ujao…

Read More

Ulinzi na usalama waimarishwa zoezi la kujiandikisha Mvomero

Hali ya ulinzi na Usalama katika wilaya ya Mvomero imeimarishwa jambo ambalo limechochea Watu kujitokeza Kwa wingi Kujiandikisha katika orodha ya wapiga kura kwenye vituo mbalimbali katika eneo hilo. Akizungumza na wananchi waliojitokeza Katika Kituo cha kuandikishwa kupiga kura cha Kanisani Kijiji cha Sokoine Mkuu wa Wilaya hiyo Judith Ngulli amesema hamasa iliyofanyika imesaidia watu…

Read More