Homa ya burudani: Mambo yapamba moto wakati Diamond akijiandaa na OktobaFest

1728459898760160 Serengeti Oktoberfest imerudi tena kwa kishindo! Mwaka jana, Supastaa Diamond Platnumz aka Chibu Dangote aliwaimbisha zaidi ya wauhudhuriaji 10,000 Kenya na kunogesha experience nzima ya burudani, bia na mizuka. Mwaka huu, inasemekana anarudi tena kukinukisha kwenye steji hii kubwa Afrika Mashariki. Je, tutegemee kumuona tena akiangusha steji ndani ya Kenya, Uganda au nyumbani kwao…

Read More

Scholz kufanya ziara Uturuki – DW – 11.10.2024

Ziara hii inafanyika huku mzozo unaotanuka wa Mashariki ya Kati na uhamiaji zikiwa mada zitakazojadiliwa, haya yamesemwa na maafisa wa Ujerumani Ijumaa. Scholz atafanya mazungumzo na Erdogan Oktoba 19 mjini Istanbul,utakaofuatiwa na mkutano na waandishi wa habari, amesema msemaji wa serikali ya Ujerumani Wolfgang Buechner alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mjini Berlin. Mara ya…

Read More

MENEJA TRA RUVUMA; “KULIPA KODI SIO DHAMBI BALI NI UZALENDO

 Meneja wa TRA mkoa wa Ruvuma Nicodemus Mwakilembe amewataka walipakodi wote kuwa na utaratibu wakulipa kodi kwa hiari na kwawakati kwani kulipa kodi sio dhambi bali ni uzalendo, ili kuepuka adhabu inayotozwa kwani inaweza ikawa kubwa kuliko kodi anayotakiwa kulipa. Amesema kulipa kodi ni wajibu wa kisheria hivyo ni jukumu la mlipakodi kutekeleza wajibu huu…

Read More

BASHE: TUNAONDOA UKIRITIMBA VYAMA VYA USHRIKA VYA TUMBAKU, UBADHIRIFU FEDHA SASA HISTORIA

WATUMISHI wa Vyama vya Ushirika na Taasisi za Fedha wamepewa onyo kali kuacha mara moja kuhujumu malipo ya wakulima wa Tumbaku, wakibainika hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. “Tunasafisha Vyama vya Ushirika. Kiongozi na Mtumishi yoyote atakayehusika kwenye ubadhirifu wa fedha za wakulima, atasimamishwa kazi mara moja,” amesema Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe wakati wa mkutano…

Read More