Wapelelezi wa mikoa wajifungia kujadili uchaguzi

  WAKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mikoa (RCOs), wamejifungia jijini Dodoma kujadili na kujikumbusha wajibu wao katika kuihudumia jamii. Anaripoti Mwandishi Wetu, … (endelea). Hayo yameelezwa leo tarehe 11 Oktoba 2024 na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI), Ramadhani Kingai, ambaye ni mwenyekiti wa kikao hicho. DCI Kingai amesema…

Read More

ATE, CLOUDS NACOCACOLA WAUNGANA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

 Mkurugenzi mtendaji wa ATE, Suzanne Ndomba-Doran na Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Mikocheni B, Nelson Saidi wakipanda mti mara baada ya kufanya usafi ikiwa ni kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika wiki ya kwanza ya Oktoba kila mwaka.Wafanyakazi wa ATE na Cocacola wakifanya usafi katika barabara ya Cocacola Mikocheni B jijini Dar es…

Read More

Afrika katika Magazeti ya Ujerumani – DW – 11.10.2024

die tageszeitung Juma hili die tageszeitung liliangazia ajali ya boti iliyotokea juma lililopita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo. Limeandika kuwa wiki moja baada ya ajali hiyo mamlaka na ndugu waliofariki dunia katika ajali hiyo wako katika mtafaruku. Katika ajali hiyo, boti ya “MV Merdi” ilizama siku ya Alhamisi wakati ilipokuwa ikiingia katika bandari…

Read More

Piga mshindo wa Ijumaa na Meridianbet

  Je unataka kupiga mshindo siku ya leo?. Basi ingia kwa wajanja wa ubashiri Tanzania nzima Meridianbet uweze kujikusanyia maokoto ya maana na uweze kutimiza ndoto zako, mechi nyingi sana leo kupigwa. Unaweza kusuka jamvi mechi za Zambia vs Chad ambapo Meridinabet wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 1.29 kwa 9.40. Timu…

Read More

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI UANDIKISHAJI MPAPURA

Na Mwandishi wetu Mpapura Wananchi mbalimbali wamejitokeza kwa wingi siku ya kwanza ya uandikishaji wapiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa na Vijiji. “Sisi Wananchi wa Tarafa ya Mpapura tumehamasishwa sana ndio maana tumejitokeza kwa wingi kujiandikisha. Lakini pia maendeleo tuliyoletewa na Serikali yametuhamasisha tujiandikishe ili tukapige kura ya kuchagua viongozi bora watakao endelea kutuletea…

Read More