Kamati za pembejeo za Wilaya zatakiwa kuhamasisha usajili wa wakulima ili kunufaika na mbolea za ruzuku

Na Mwandishi wetu Manyara Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Queen Sendiga amezitaka kamati za pembejeo za wilaya kwa kushirikiana na wenyeviti wa wilaya kuhakikisha wakulima wanajisajili kwenye daftari la mkulima na wale waliojiandikisha msimu uliopita wanahuisha taarifa zao ili wasipitwe na fursa ya mbolea za ruzuku. Sendiga ametoa wito huo tarehe 10 Oktoba, 2024 alipokuwa…

Read More

Majaliwa mgeni rasmi siku ya Mwalimu duniani Bukombe 2024

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Octoba 11, 2024 amewasili mji mdogo wa Ushirombo, Wilayani Bukombe mkoani Geita ambapo atakuwa Mgeni Rasmi katika Siku ya Mwalimu Duniani kwa mwaka 2024. Maadhimisho hayo yanafanyika kwenye Viwanja vya shule ya Sekondari Ushirombo ambapo pamoja na mambo mengine Mheshimiwa Waziri Mkuu atakabidhi vifaa vya kujifunza na kujifunzia kwa walimu…

Read More

Wananchi Jitokezeni Kujiandikisha kupiga kura

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Salim ASAS amewasihi wananchi wa mkoa wa Iringa kujitokeza katika zoezi la kujiandikisha katika vituo vya kujiandikishia kwenye maeneo yao. ASAS ametoa wito huu leo tarehe 11/10/2024 muda mfupi baada ya kukamilisha zoezi la kujiandikisha katika kituo cha afya cha PHC mtaa wa Sabasaba mjini Iringa. Amesema wananchi…

Read More

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA OFISI ZA CCM TABORA

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea Ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tabora na kuzungumza na Viongozi na Wanachama wa CCM kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi katika Wilaya za Sikonge, Urambo…

Read More