
Jaji mkuu awataka majaji kutumia akili mnemba,”fanyeni mazoezi kuepuka afya ya akili”
Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Hamis Juma amewataka majaji kutumia zaidi teknolojia ya akili mnemba ili kuondokana na changamoto ya mlundikano wa mashauri kwa lengo la kuboresha ufanisi wa mfumo wa sheria na kupunguza mashauri katika mahakama. Ameyasema hayo katika Mkutano wa nusu mwaka uliokutanisha majaji mbalimbali kutoka mahakama za Rufani Nchini kwa lengo…