
MUSHI AWATAKA WARATIBU WA MRADI WA HEET KUONGEZA KASI YA MCHAKATO WA MANUNUZI
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (Sayansi,Teknolojia na Ubunifu) Daniel Mushi amewataka waratibu wa mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET),kuongeza kasi ya mchakato wa manunuzi pamoja na kusimamia fedha kwa weledi,ili zifanye kazi iliyo kusudiwa. Ameyasema hayo leo Oktoba 10,2024 Jijini Dar es salaam wakati alipokutana na waratibu…