
JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA K/KOO WAZINDUA JUKWAA LA BIASHARA NA HUDUMA
Mfanyabiashara wa mashuka, pazia ,Ida Mwaibula akizungumza wakati wa kuzindua jukwaa la biashara na huduma uzinduzi uliofanyika jijini Dar es Salaam leo Oktoba 10, 2024. Baadhi ya wadau wakitoa elimu katika uzinduzi wa Jukwaa la biashara na huduma. JUMUIYA ya Wafanyabiashara wa Kariakoo leo Oktoba 10, 2024 wamezindua jukwaa la biashara na huduma ili kuboresha…