
HAMUOGOPI? CCM ‘WATISHA’, NCHIMBI AKIZUNGUMZA NAO KAHAMA
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akizungumza kwenye mkutano wa ndani wa wanachama na viongozi wa CCM Wilaya ya Kahama, tarehe 10 Oktoba 2024, baada ya kupokelewa rasmi wilayani humo leo asubuhi, ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake ya kikazi Mkoa wa Shinyanga, ambayo leo imeingia siku ya pili. …