
China kamwe haiwezi kuiwakilisha Taiwan – DW – 10.10.2024
Haya ni kulingana na Rais wa Taiwan Lai Ching-te siku ya Alhamis huku hiyo hatua yake ya kuonekana kuuma na kuvivia ikiighadhabisha China. Lai aliyeingia afisini mwezi Mei baada ya kuchaguliwa mwezi Januari, haungwi mkono na China ambayo inamuita “mtenganishi”. Beijing inadai kuwa Taiwan ambayo ina utawala wa kidemokrasia iko chini ya himaya yake, mtazamo…