
WATAFUTIENI MASOKO VIJANA WANAOPATA ELIMU NJE YA MFUMO USIO RASMI- KHALID
Angela Msimbira SONGWE Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa zimeshauriwa kuhakikisha vijana wanaopata elimu nje ya mfumo usio rasmi wana tafutiwa masoko ili kupunguza wimbi la vijana wanaozurura mitaani kwa kukosa muelekeo wa maisha. Rai hiyo imetolewa leo Oktoba 29, 2024 mkoani Songwe na Naibu Katibu Mkuu Utawala, Wizara ya Elimu na…