
SHIUMA lataka wamachinga Iringa kukomesha migogoro
Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (SHIUMA) limewataka wafanyabiashara wadogo maarufu kama machinga mjini Iringa kukomesha migogoro inayowagawa ili wawe na sauti moja katika kushughulikia masuala yao. Wito huu umetolewa leo, na Katibu Mkuu wa SHIUMA Taifa, Venatus Magayane katika kongamano lililofanyika katika ukumbi wa Highlands Hall, Manispaa ya Iringa. Katika kongamano hilo, Magaye alikiri…