Siku ya Wakulima wa Miwa Bonde la Kilombero yaanza kwa mdahalo wa kimkakati ya wadau kabla ya maonyesho ya siku 3.

   Kilombero, Morogoro. Maonesho ya Siku ya Wakulima wa Miwa Bonde la Kilombero yameanza huku wadau kutoka sekta mbalimbali za sukari wakishiriki mijadala kuhusu kaulimbiu ya mwaka huu, “Kuwawezesha Wakulima wa Miwa Kupitia Teknolojia na Ubunifu: Njia ya Kuongeza Tija na Utoshelevu wa Sukari.” Lengo la kaulimbiu hii ni kuelimisha wadau na kuonesha teknolojia ya…

Read More

EWURA YAWAITA WENYE MALALAMIKO WIKI YA HUDUMA KWA MTEJA

Ofisa Uhusiano Mwandamizi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA),Tobietha Makafu,akieleza namna EWURA ilivyojipanga kuwahudumia wadau wake katika kipindi hiki cha Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyoanza Oktoba 7, mwaka huu. Na.Mwandishi Wetu-DODOMA MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imewaita wote wenye malalamiko kuhusu huduma zinazodhibitiwa na…

Read More

RENMIN ,SHULE YA UONGOZI MWALIMU NYERERE WASAINI MKATABA WA KUBADILISHANA UZOEFU

Kutoka kushoto  ni Mkuu wa Chuo Cha Renmin  Prof.Zhang Donggang na Prof.Marcellina Chijoriga  wakisaini mkataba  huo. Kutoka kushoto  ni Naibu Mkuu wa  Chuo Cha  Kumbukumbu  ya Mwalimu Nyerere  Dkt. Evaristo Haule Shule ya Uongozi Mwalimu Nyerere Profesa Marcellina Chijoriga  na Mkuu wa Chama Tawala Cha China  Cha (CPC)kwenye Chuo cha Renmin Zhang Donggang wakiwa  katika…

Read More

TBS YATOA ELIMU KWA WADAU WA SEKTA YA MADINI MKOANI GEITA

Na Mwandishi Wetu, Geita SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limekutana na wadau wa sekta ya madini na wananchi kwa ujumla na kuwapata elimu kuhusu masuala ya madini. Shirika hilo limekutana na wadau pamoja na wananchi hao kuwapatia elimu hiyo kwenye Maonesho ya Saba ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini yanayoendelea kwenye viwanja vya Bombambili mkoani…

Read More