Vodacom yawafikia abiria wa ‘Treni ya Mwakyembe’

KAMPUNI ya Vodacom Tanzania imewafikia abiria wa treni ya Dar es Salaam maarufu kama ‘Treni ya Mwakyembe’ katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja.   Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Happiness Shuma (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) Never…

Read More

Vikundi vya Kijamii Chalinze vyapigwa msasa NMB Kijiji Day Miono – MWANAHARAKATI MZALENDO

NA MWANDISHI WETU VIKUNDI vya Kijamii nchini vimetakiwa kuchangamkia fursa zilizomo katika Akaunti ya Kikundi ya Benki ya NMB ‘NMB Kikundi Akaunti,’ ili kuvirasmisha na kunufaika na huduma za Bima, Mikopo na Huduma Jumuishi za Kifedha Kidigitali kwa maendeleo yao kiuchumi. Wito huo umetolewa na Meneja Mwandamizi wa Benki ya NMB anayeshughulikia Mauzo ya Vikundi…

Read More

SHILATU AHIMIZA MAKUNDI MAALUM KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA

Na Mwandishi wetu Mpapura, Afisa Tarafa Mpapura Emmanuel Shilatu amesisitiza jamii kuhakikisha makundi maalum yanapewa nafasi ya kuchagua na kuchaguliwa kwenye uchaguzi huu wa Serikali za mitaa 2024. Gavana Shilatu aliyasema hayo kwenye mikutano na vikao alivyofanya ya kuhimiza ushiriki kikamilifu wa Watu kwenye mazoezi ya kujiandikisha na kupiga kura. “Kumekuwa na tabia kwenye jamii…

Read More

NCHIMBI: AMANI IWE KIPAUMBELE CHETU WATANZANIA

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema amani na mshikamano wa Watanzania unapaswa kuwa mojawapo ya vipaumbele kwa kila Mtanzania. Balozi Nchimbi amesema kuwa wasisi wa Taifa la Tanzania na wazee walifanya kazi kubwa katika kuweka misingi ya kulinda na kutunza amani ya nchi, wakitumia hekima na uzoefu ili…

Read More

SOUWASA YABORESHA HUDUMA YA MAJI SONGEA

 Mwenyekiti wa mtaa wa Namanyigu kata ya Mshangano manispaa ya Songea Abdulkadri Myao, amesema Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira Songea SOUWASA, wameboresha kwa kiasi kikubwa huduma wanazozitoa ukilinganisha na kipindi cha nyuma jambo ambalo limerejesha matumaini kwa wakazi wa eneo hilo. Amebaisha hayo baada ya SOUWASA kutembelea mtaa huo ikiwa ni mwendelezo…

Read More