MAGRETH BARAKA AJITOSA UENYEKITI VIJANA FEMATA

Na Mwandishi wetu MKURUGENZI wa kampuni ya Mfuko wa Uwekezaji wa Madini wa Afrika (Africa Investment Fund) Magreth Baraka Ezekiel ametia nia ya kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa vija Taifa wa shirikisho la vyama vya wachimbaji madini nchini (FEMATA). Magreth ambaye ni Mkurugenzi wa mfuko huo wa AIF unaowaunganisha wawekezaji wa ndani na nje ya…

Read More

ELISHA MNYAWI MWENYEKITI MPYA MAREMA

Na Mwandishi wetu, Babati MCHIMBAJI maarufu wa madini ya Tanzanite na madini ya viwandani Elisha Nelson Mnyawi amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa chama cha wachimbaji madini Mkoa wa Manyara (MAREMA). Afisa madini mkazi (RMO) wa Manyara, mhandisi Godfrey Nyanda akitangaza matokeo ya uchaguzi huo uliofanyika mjini Babati, amesema Elisha ameshinda nafasi hiyo kwa kupata kura 61…

Read More

WAZIRI MKUU KUZINDUA WIKI YA VIJANA KITAIFA JIJINI MWANZA

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 9,2024 jijini Dodoma kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Vijana Kitaifa yaliyoanza Oktoba 8,2024 katika viwanja vya  Furahisha jijini Mwanza. WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani…

Read More

WAZIRI KABUDI ASISITIZA WELEDI  KATIKA UPELELEZI NCHINI

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi,akizungumza leo Oktoba 9,2024 jijini Dodoma wakati akifungua kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Taifa ya Mashtaka,Ofisi ya  Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU). WASHIRIKI wakimsikiliza Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, wakati akifungua kikao…

Read More

TCRA Arusha yazindua kampeni ya kupambana na utapeli mtandaoni,Meneja afunguka

Mamlaka ya Mawasiliano ya Mawasiliano Tanzania{TCRA} Kanda ya Kaskazini imeanzisha kampeni ya kuwahimiza watanzania kujilinda dhidi ya uhalifu mtandaoni kwani uwepo wa mazingira salama mtandaoni utawezesha kufikia malengo ya uchumi wa Kidijiti. Hayo yalisemwa leo Jijini Arusha na Meneja wa TCRA Kanda ya Kaskazini,Mhandisi Francis Mihayo mbele ya waandishi wa habari na kusema kuwa katika…

Read More