
MKURUGENZI PUMA TANZANIA AONGOZA WAFANYAKAZI KUHUDUMIA WATEJA,WAMPONGEZA RAIS SAMIA
KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania kupitia Mkurugenzi Mtendaji wake, Fatma Abdallah, amesema mazingira mazuri yaliyowekwa na Serikali chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, yameiwezesha kuendelea kutoa huduma bora kwa wateja wake na Watanzania kwa ujumla. Pia amesema pamoja na kuendelea kutoa huduma bora za viwango vya kimataifa kwa sasa kampuni hiyo…