
Wazazi wapewa angalizo matumizi ya simu, kompyuta kwa watoto
MKURUGENZI wa Huduma za Tiba Dk. Hamad Nyembea, amewataka wazazi na walezi, kulinda afya ya macho ya watoto, kwa kuzingatia muda wanaotumia kwenye runinga, simu pamoja na kompyuta. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Dk. Nyembea ameyasema hayo leo tarehe 09 Oktoba 2024, alipokuwa akifunga maadhimisho ya wiki ya macho Duniani yaliyofanyika katika kituo…