
BALOZI MSHANA ASHIRIKI KIKAO CHA USHOROBA WA KATI
Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mheshimiwa Said Mshana, amemwakilisha Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof Makame Mbarawa katika kikao cha Nchi Wanachama wa Ushoroba wa Kati (Central Corridor) kilichofanyika jijini Kinshasa nchini DRC. Kikao hicho pamoja na masuala mengine, kuliikaribisha Zambia kuwa Mwanachama Mpya wa Ushoroba wa Kati. Zambia inakuwa mwanachama…