WANANCHI WAKUBALI YAISHE, BANGI KUBAKI HISTORIA TARIME

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya kwa kushirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama ikiwemo jeshi la polisi, jeshi la akiba pamoja na wananchi imefanya operesheni kubwa ya kihistoria kwa muda wa wiki tatu katika wilaya ya Tarime na Serengeti, mkoani Mara kwa lengo la kukabiliana na tatizo la uzalishaji na usambazaji…

Read More

Ado Mengi kuhusu Hakuna – Masuala ya Ulimwenguni

Kuhusu Kar Jin Maoni na Jomo Kwame Sundaram, Ong Kar Jin (kuala lumpur, Malaysia) Jumatano, Oktoba 09, 2024 Inter Press Service KUALA LUMPUR, Malaysia, Oktoba 09 (IPS) – Baada ya miaka 2.5, Mfumo wa Indo-Pacific wa Ufanisi wa Rais wa Marekani Joe Biden (IPEF) unazidi kutokuwa na umuhimu kutokana na mapungufu yake yenyewe na mabadiliko…

Read More

TANZANIA NA OMAN KUSHIRIKIANA KATIKA MAENEO MUHIMU YA MAENDELEO

  Tanzania na Oman zimekubaliana kuendeleza ushirikiano katika nyanja mbalimbali za maendeleo ikiwemo Sekta ya Nishati na Madini, kutengeneza mazingira bora ya uwekezaji, kubadilishana uzoefu na mafunzo katika masuala ya kodi pamoja na kuondoa utozaji kodi mara mbili kwa wawekezaji na wafanyabiashara watakaofanya shughuli zao kati ya nchi hizo mbili.   Hayo yamesemwa wakati wa…

Read More

KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI BAGAMOYO

  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda,Biashara,Kilimo na Mifugo ikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wake Mhe. Mariam Ditopile Mzuzuri ikiongozana na Mwenyeji wao Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt.Hashil Abdallah ikitembelea Kiwanda cha Sukari cha Bagamoyo kwa lengo la kukagua shughuli za sekta binafsi zinazosimamiwa na serikali ili kuhakikisha mwananchi anapata thamani…

Read More

ZAINA FOUNDATION, PARADIGM INITIATIVE YATOA MAFUNZO KUHUSU SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV TAASISI ya Zaina Foundation kwa kushirikiana na taasisi ya Amnesty pamoja na Paradigm Initiative zimefanya warsha ya pamoja ambayo imelenga kukuza uelewa wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ambapo itasaidia kuwatetea na kulinda faragha za watu Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 08,2024 Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi…

Read More

Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni aipongeza Puma Energy kurahisisha upatikanaji huduma za nishati kwa wananchi

• Mkuu wa Wilaya ashiriki uzinduzi wa kituo kipya cha mafuta pamoja na huduma za ziada kama vile duka la manunuzi ya mahitaji ya nyumbani, huduma za kuosha na matengenezo ya magari. • Pia, apokea msaada wa mitungi ya gesi safi ya kupikia ya Puma Gas inayosambazwa na kampuni hiyo ili kuwanufaisha akina mama wanaojishughulisha na biashara ndogondogo za…

Read More

LSF NA NORTH – SOUTH COOPERATION ZATEKELEZA MIRADI YA MAENDELEO LONGIDO.

Longido, Arusha 08 Oktoba 2024. LSF, kwa kushirikiana na wadau wake NORTH-SOUTH COOPERATION kutoka Luxembourg, imekamilisha mradi wa miaka miwili unaojulikana kama ‘Wanawake Tunaweza,’ ambao umeleta mafanikio makubwa katika kuwawezesha wanawake na watoto wa kike kutoka jamii ya Kimasai wilayani Longido. Mradi huu, ulioanza kutekelezwa mwaka 2022, umelenga kuwawezesha wanawake na wasichana kijamii na kiuchumi…

Read More