
Uchaguzi wa Georgia ulikuwa huru – DW – 29.10.2024
Haya ni licha ya maandamano makubwa ya upinzani uliodai uchaguzi huo si halali na kwamba kulikuwa na wizi wa kura. Orban, mshirika wa karibu wa Rais Vladimir Putin wa Urusi katika Umoja wa Ulaya, ndiye kiongozi wa kwanza wa kigeni kuizuru Georgia kufuatia uchaguzi wa Jumamosi iliyopita ambao tume ya uchaguzi nchini humo inasema ulishindwa…