WAZIRI JAFO ATETA NA BALOZI WA KENYA NCHINI

  Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Tanzania, Mhe.Dkt. Isaac Njenga na Ujumbe wake katika Ofisi ndogo ya Wizara jijini Dar es Salaam Oktoba 8, 2024. Mazungumzo hayo yamelenga kuongeza ushirikiano wa Kibiashara hasa katika Biashara za mipakani, Biashara za mazao ya Kilimo…

Read More

ZAINA FOUNDATION, AMNESTY NA PARADIGM INITIATIVES ZASHIRIKIANA KUJENGA UELEWA WA SHERIA YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI – MWANAHARAKATI MZALENDO

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM   TAASISI ya Zaina Foundation kwa kushirikiana na taasisi ya Amnesty pamoja na Paradigm Initiatives zimefanya warsha ya pamoja ambayo imelenga kukuza uelewa wa sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ambapo itasaidia kuwatetea na kulinda faragha za watu.   Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 08,2024 Jijini Dar…

Read More

Je, upinzani una nafasi? – DW – 08.10.2024

Mji mkuu wa Msumbiji Maputo, umepambwa kwa rangi kali nyekundu kwa wiki kadhaa. Nyekundu ni rangi ya FRELIMO, chama ambacho kimeongoza nchi hiyo tangu uhuru wa nchi hiyo karibu miaka 50 iliyopita. Bendera za FRELIMO ziko kila mahali, hasa tangu tarehe 24 Agosti, siku ambayo kampeni za uchaguzi zilifunguliwa rasmi katika nchi hii ya kusini…

Read More

TPA imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuweza kuendelea kutoa huduma shindani :Mbossa

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Bw.Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuweza kuendelea kutoa huduma shindani katika soko la Afrika na kimataifa. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Bw ambayo imeanza jana, Mbossa amesema kuwa mpaka sasa mamlaka hiyo…

Read More