Suluhu ya Kubadilisha Mchezo kwa Chakula, Hali ya Hewa na Migogoro ya Ulimwenguni – Masuala ya Ulimwenguni

Edward Mukiibi, Rais, Slow Food. Credit: Busani Bafana/IPS by Busani Bafana (Turin, Italia) Jumanne, Oktoba 08, 2024 Inter Press Service TURIN, Italia, Oktoba 08 (IPS) – Edward Mukiibi, Rais wa Slow Food, ni mabingwa wa kilimokolojia kama jibu la mageuzi katika matatizo makubwa zaidi duniani: ukosefu wa chakula, mabadiliko ya hali ya hewa, na migogoro…

Read More

Serikali yawaonya waandikishaji kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa “Utakayoyajua hupaswi kumwambia mtu”

Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa,serikali wilayani Njombe imewaonya waandikishaji wa vituo 227 vya uchaguzi waliokula kiapo Cha utii na Uadilifu kutotoa siri za mchakato huo kwani ni kinyume cha sheria na kanuni za uchaguzi. Onyo hilo limetolewa na mwanasheria wa Halmashauri ya wilaya ya Njombe George Makacha wakati akiwaapisha waandikishaji hao katika ngazi za…

Read More

TotalEnergies kwa kushirikiana na Nafasi Art Space watoa elimu ya usalama Barabarani katika shule ya msingi ya Uzuri

Ikiwa kwenye wiki ya huduma kwa Wateja Kampuni ya mafuta ya TotalEnergies kwa kushurikiana na Taasisi ya Nafasi Art Space wametoa elimu ya usalama barabarani katika shule ya msingi ya Uzuri iliyopo katika wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.   Akizungumza wakati wa mafunzo hayo meneja Mawasiliano wa TotalEnergies Marketing Tanzania ltd Anita Bulindi…

Read More

Sloti ya Wild 27 kasino ya mtandaoni

  KAMA unapenda sloti za matunda, basi chaguo lako limepata kiburudisho chenye hisia kali kiasi kwamba huwezi kusubiri kupoteza hata dakika moja bila kucheza kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Wild 27 ni sloti kutoka kasino ya mtandaoni iliyoandaliwa na mtayarishaji wa michezo ya kasino Fazi . Kwenye mchezo huu wa sloti, kwa msaada wa matunda…

Read More

MAKAMU WA RAIS AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TABORA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Igunga wakati akianza Ziara ya Kikazi mkoani Tabora leo tarehe 08 Oktoba 2024. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Paul Chacha…

Read More

KAMATI YA BUNGE YATEMBELEA OFISI ZA TBS BANDARINI DAR

Na Mwandishi Wetu KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda na Biashara, Kilimo na Mifungo imempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwekezaji mkubwa alioufanya kwenye Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa lengo kuhakikisha usalama wa bidhaa ambazo zinatumiwa na Watanzania. Mbali na kupongezwa uwekezaji uliofanywa kwenye shirika hilo, Kamati hiyo pia ilimpongeza Rais Samia kwa…

Read More

Serikali yaanza kujenga maabara za Kisasa Kilimanjaro,Shule elfu nne kunufaika

Wakati sayansi na teknolojia ikikuwa kwa kasi nchini, serikali imeanza utekelezaji wa ujenzi wa maabara za kisasa za Teknolojia, habari na mawasiliano(Tehama) mkoani Kilimanjaro, lengo likiwa ni kuongeza idadi ya vijana watakaoweza kushindana kwenye uchumi wa kidigitali. Maabara hizo za kisasa zitajengwa katika shule za sekondari zaidi ya 4000 ikiwemo za kata, katika mikoa ya…

Read More