
RAIS SAMIA AIWEZESHA REA KUTOA RUZUKU BEI MITUNGI YA GESI
REA kusambaza mitungi ya gesi 3,225 Gairo Yaendelea kugawa majiko banifu kwa wananchi Wananchi wapewa elimu matumizi ya nishati safi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa ruzuku ya bei kwenye mitungi ya gesi inayotolewa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ili Watanzania watumie nishati safi na salama kwa…