
Naibu waziri Kapinga ashiriki jukwaa la Mawaziri Afrika ya Kusini
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga ameshiriki Jukwa la Mawaziri (Ministerial Symposium) nchini Afrika Kusini ikiwa ni sehemu Kongamano la Wiki ya Mafuta Afrika (Afrika Oil Week) linalofanyika Jijini Cape Town. Jukwaa hilo pia limehudhuriwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Dkt. James Mataragio, Kamishina wa Petroli na Gesi Ndg. Goodluck Shirima…