
Tuwatoe hofu uchaguzi utakuwa wa huru na wahaki:Waziri Lukuvi
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge na Uratibu) William Lukuvi amesema serikali imejipanga kuandaa mazingira bora ya uchaguzi kwa vyama vyote vya siasa nchini kuwa dhamira ya serikali ya awamu ya sita ya Rais Samia Suluhu Hassani ni kuhakikisha chaguzi zote zitakazofanyika nchini kuwa zinazingatia misingi ya demokrasia. Waziri Lukuvi ameyasema hayo…