
WANANCHI ZANZIBAR WAJITOKEZA KUBORESHA DAFTRARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Wananchi wa Jimbo la Paje lililopo katika Wilaya ya Kusini,Mkoa wa Kusini Unguja wakiwa katika moja ya vituo kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura,leo tarehe 7 Oktoba,2024. Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Zanzibar umeanza leo Oktoba 07 hadi Oktoba 13, 2024 na vituo vitakuwa vinafunguliwa kuanzia…