
Lukuvi atoa hakikisho la uchaguzi huru na wa haki wa serikali za mitaa na ule wa 2025
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi, amewatoa hofu wananchi kuhusu uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu ujao, akisisitiza kuwa uchaguzi huo utafuata sheria na kanuni zote na kwamba kila raia anastahili kushiriki kikamilifu. Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Oktoba 7,…