TPA yaahidi kuongeza ufanisi katika bandari zake

  MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema kuwa mamlaka hiyo imejipanga kufanya upanuzi wa bandari zake, ili kuendelea kutoa huduma shindani katika soko la Afrika na kimataifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja, ambayo imeanza jana…

Read More

REA YAANZA KUGAWA MAJIKO BANIFU KWA WANANCHI

  Imeelezwa kuwa, Majiko Banifu yanayotolewa na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) katika Maonesho ya Samia KILIMO Biashara Expo 2024 yanapatikana kwa gharama nafuu, yanatunza mazingira, yanadumu na rafiki kwa afya ya watumiaji.  Hayo yamebainishwa leo tarehe 6 Oktoba, 2024 na Mkuu wa wilaya ya Gairo, Mhe Jabir Makame wakati akizungumza na wananchi alipotembelea banda…

Read More

Boni Yai aruka kihunzi, asema ameshuhudia mengi gerezani

  BAADA ya kusota gerezani siku 19 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob ‘Boni Yai’ hatimaye amepata dhamana. Anaripoti Faki Sosi, Dar es Salaam … (endelea). Leo tarehe 7 Oktoba, 2024 Hakimu Mfawidhi Franco Kiswaga ametupilia mbali pingamizi la upande wa Jamhuri waliliwasilishwa mahakamani hapo kupinga Boni Yai…

Read More

Wanachama wa Republican Huwalaumu Wanawake kwa Kiwango cha Chini cha Kuzaliwa Marekani – Masuala ya Ulimwenguni

Kulingana na Warepublican wengi, kiwango cha chini cha kuzaliwa kwa Amerika na shida ya ustaarabu iliyosababishwa na matokeo yake mabaya kwa nchi inaweza kulaumiwa kwa wanawake wa Amerika katika umri wa kuzaa. Maoni na Joseph Chamie (portland, Marekani) Jumatatu, Oktoba 07, 2024 Inter Press Service PORTLAND, Marekani, Oktoba 07 (IPS) – Nchi kote duniani zinakabiliwa…

Read More

Rais wa Tunisia kushinda muhula wa pili madarakani – DW – 07.10.2024

Wafuasi wa Kais Saied tayari wameanza kusherehekea kwa kupiga honi barabarani muda mfupi tu baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika huku televisheni ya kitaifa ikioyesha vidio  za rais Saied akiahidi kukabiliana na wasaliti na wale wanaopanga matukio mabaya dhidi ya Tunisia, akionekana kuendelekza kile alichokuwa anakjifanya katika uongozi wake.  Saied alionekana akisema ataisafisha nchi…

Read More

Waziri Mkuu atembelea mazoezi Stars

Na Mwandishi Wetu Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Oktoba 7,2024 ametembelea mazoezi ya timu ya Taifa, Taifa Stars inayojiandaa na michezo miwili ya kufuzu michuano ya AFCON 2025 dhidi ya DR Congo itakayochezwa Oktoba 10 na 15, 2024. Taifa Stars inafanya mazoezi kwenye Uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam. Akizungumza…

Read More