SMZ YAIPONGEZA AIRTEL FOUNDATION NA IIT MADRAS KWA USHIRIKIANO

Na Nihifadhi Issa. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema imesaini makubaliano na Serikali ya India katika kuhakikisha chuo cha International Institute Technology (IIT madras) kinafundisha na kutoa wataalamu kutoka Zanzibar na Tanzania kwa jumla. Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa ameyasema hayo wakati akizindua Programu maalumu ya mafunzo inayobeba…

Read More

DAWASA YAANZA KWA KISHINDO WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

-Yaingia mtaani kusikiliza na kutatua changamoto za kihuduma Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja kwa kuwafikia wateja wake katika maeneo mbalimbali ya kihuduma katika Mikoa ya Dar es salaam na Pwani ili wanatatua na kuboresha huduma. Akizungumza na vyombo vya habari ,…

Read More

KAMPUNI 100 ZATAMBULIWA ZAPATA TUZO YA ‘BEST BRAND AWARDS’

Mwakilishi kampuni ya tuzo za chapa bora Afrika.(Best Brand Awards Africa’) nchini, Zakayo Shushu akimkabidhi tuzo mwanamitindo Hamisa Mobeto wakati wa tuzo zilizofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. KAMPUNI na taasisi 100 zapata tuzo ya kutambuliwa kama chapa bora iliyojulikana  kama best Brands Awads katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam…

Read More

NMB yamtambulisha Mtoa Huduma kwa Wateja wa Kidigitali

NA MWANDISHI WETU KATIKA kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja, Benki ya NMB imeitambulisha kampeni kubwa ya mapinduzi huduma kiteknolojia iitwayo Sisi ni Huduma ‘Tumekupata,’ utambulisho uliofanyika sambamba na uzinduzi wa Mtoa Huduma wa Kidigitali ‘Chatbot’ aliyepewa jina la NMB JIRANI. Utambulisho na uzinduzi huo umefanyika jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Oktoba 7, ambako…

Read More

MAMA LISHE WATOA WITO KWA WADAU

Wafanyabiashara wa chakula maarufu kama ‘Mama Lishe’ wametoa wito kwa wadau wa maendeleo kushirikiana nao katika kutatua changamoto mbalimbali zinazokabili biashara zao, hususan ukosefu wa vifaa vya kisasa na mitaji ya kuimarisha biashara.  Wafanyabiashara hao walitoa wito huo kupitia ‘Coca-Cola Food Fest’, tamasha la chakula lililoandaliwa na Kampuni ya Coca-Cola, wakibainisha kuwa matamasha kama hayo…

Read More

MKUU WA MISHENI YA UANGALIZI WA UCHAGUZI YA SADC NCHINI MSUMBIJI AFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI VYA NCHINI MSUMBIJI

Katika mazungumzo yake na viongozi hao kutoka vyama vya MPD, PEMO, UDM, RD, PDM, Ecologists na PPD, Mhe. Dkt. Karume pamoja na mambo mengine aliwaeleza lengo la Misheni anayoiongoza kuwa ni kuangalia uchaguzi kwa mujibu wa kanuni na miongozo ya uchaguzi ya SADC iliyorekebishwa mwaka 2021 inayozingatia misingi ya haki, usawa na demokrasia. Pia alitumia…

Read More