Maelfu wakwama kufanya mtihani darasa la saba

  WANAFUNZI 25,875 waliopaswa kufanya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka 2024, hawakufanya mtihani huo. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam … (endelea). Aidha, watahiniwa 907,429 waliofanya mtihani huo wamefaulu kwa kupata daraja A, B na C na 323,345 wamepata daraja D na E. Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Mitihani Tanzania (NECTA),…

Read More

Sudan imenaswa katika 'jinamizi la ghasia', mkuu wa Umoja wa Mataifa ameliambia Baraza la Usalama – Global Issues

“Mateso yanaongezeka siku hadi siku, na karibu watu milioni 25 sasa wanahitaji msaada wa kibinadamu,” Bwana Guterres. aliiambia mabalozi katika Baraza la Usalamaakisisitiza hali mbaya ambayo raia wanavumilia Miezi 18 kwenye mzozo. Alitaja hali hiyo kuwa ni mfululizo wa ndoto mbaya zisizoisha. “Maelfu ya raia waliuawa, na wengine isitoshe wakikabiliwa na ukatili usioelezekakutia ndani ubakaji…

Read More

Mateso ya wazabuni Liwale, 15 wadhulumiwa malipo fedha zao

  WAFANYABIASHARA wanaopewa zabuni za ujenzi wa miradi ya Serikali wilayani Liwale, wamesusa kazi hizo baada ya wakandarasi wengi kudhulumiwa mamilioni ya fedha za kazi wanazofanya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Liwale, Lindi … (endelea). Taarifa zinaeleza kuwa pamoja na mabilioni ya fedha yanayotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya miradi ya maendeleo wilayani humo,…

Read More

Wafugaji watamba kuwaweka viongozi wa wilaya mfukoni

  WAFUGAJI wa kata ya Gwata wilayani hapa, wametamba kuwa hakuna anayeweza kuwafanya chochote juu ya madai ya wakulima wa eneo hilo, wanaolalamikia mazao yao kuliwa na ng’ombe wa wafugaji hao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kibaha, Pwani … (endelea). Kibaya zaidi, wakulima hao wanalalamikia fidia wanayolipwa kwa uharibifu wa mazao yao kuwa ni ndogo na wakati…

Read More

Mtaalamu wa kemia kiongozi mpya Hezbollah

  Hezbollah imemteua Amin Qassem, kuwa Katibu Mkuu wa kundi hilo, kurithi nafasi ya Hassan Nasrallah, aliyeuawa na majeshi ya Israel, mwezi mmoja uliopita. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). Nasrallah aliuawa mwishoni mwa Septemba, baada ya uvamizi wa Israel ambao ulilenga makao makuu ya Hezbollah yaliyopo Kusini mwa mji mkuu wa Lebanon, Beirut. Naim…

Read More