Rais Dkt.Samia anamatumaini makubwa na Taifa Stars :Majaliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameitembelea Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mpira wa Miguu (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam na kusema kuwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassaan anamatumaini makubwa kuwa timu hiyo itafanya vizuri kwenye michezo yote miwili. Mheshimiwa Majaliwa ameyasema hayo leo…

Read More

EXIM BANK YASHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA

Mkuu wa  Kitengo cha Hazina na Masoko  ya Dunia wa benki ya Exim Tanzania, Nelson Kishanda akizungumza na wafanyakazi wa benki hiyo katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja 2024 katika tawi la benki hiyo la Samora Avenue. Kushoto kwake ni Frank Matoro, Meneja Mkuu wa Huduma za Wateja. Wafanyakazi wa benki ya Exim…

Read More

Mahamaka yampa Dhamana ‘Boniface Jackob

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachilia huru kwa dhamana aliyekuwa Meya wa Kinondoni na Ubongo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob ‘Boni Yai’ baada ya kutupilia mbali pingamizi la upande wa Jamuhuri la kuzuia dhamana dhidi yake. Uamuzi huo umetolewa leo Oktoba 7,2024 na Hakimu Mkazi Mfawidhi Franco Kiswaga wa mahakama hiyo, wakati kesi hiyo…

Read More

MAKAMU WA RAIS AKIONDOKA LESOTHO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mashoeshoe mjini Maseru nchini Lesotho mara baada ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika sherehe za Miaka 58 ya Uhuru wa Lesotho na Miaka 200 ya…

Read More

Mwaka mmoja tangu shambulio la Oktoba 7 – DW – 07.10.2024

Maadhimisho hayo ya mwaka mmoja tangu yalipotokea mashambulizi  ya Hamas yamefanyika Israel na katika miji mingine duniani. Huko Israel, Rais Isaac Herzog ndiye ameongoza sherehe hizo. Ilipotimia saa kumi na mbili na dakika 29 asubuhi, kulishuhudiwa dakika mmoja ya ukimya ili kuwakumbuka wote waliouawa siku hiyo. Sherehe rasmi zilifanyika kusini mwa Israel katika vitongoji vya  Kibbutz…

Read More