TUJIKINGE NA UGONJWA WA KICHAA CHA MBWA KWANI ZAIDI YA WATU 60,000 HUFARIKI KILA MWAKA

  Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Abdul Mhinte katikati akiwa katika picha ya pamoja katika Maadhimisho ya Kichaa cha Mbwa Duniani Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza Septemba 28, 2024.(Picha na Faustine Gimu) Ugonjwa wa Kichaa cha mbwa ( Rabies) ni ugonjwa hatari unaoathiri ubongo na kwa kawaida unamwuua aliyeambukizwa nao. Jina na njia za kuambukizwa Jina la…

Read More

MKUU WA MISHENI YA UANGALIZI WA UCHAGUZI YA SADC NCHINI MSUMBIJI ATETA NA VIONGOZI WA VYAMA VYA UPINZANI VYA NCHINI MSUMBIJI

Rais Mstaafu wa Zanzibar na Mkuu wa Misheni ya Uangalizi wa Uchaguzi ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC –SEOM) nchini Msumbiji, Mhe. Dkt. Amani Abeid Karume akizungumza  na viongozi kadhaa wa vyama vya upinzani vya Msumbiji ikiwa ni mwendelezo wa jukumu lake la kukutana na wadau mbalimbali wa uchaguzi mkuu wa Msumbiji unaotarajiwa…

Read More

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Waipiga jeki Utu Kwanza

Mwenyekiti wa Taasisi ya Utu Kwanza Shehzada Walli akizungumza  na Waandishi wa Habari hawapo  pichana Oktoba 6,2024 katika Utu Run iliyoanzia na kumalizika Viwanja vya Farasi Oysterbay Jijini  Dare es Salaam. Mwenyekiti wa Taasisi ya Utu Kwanza Shehzada Walli akiwa amesimama meza kuu mbele ya mgeni rasmi ambaye amemwakilisha Waziri wa Wizara ya Mambo ya…

Read More

Umetimia mwaka mmoja tangu mashambulizi ya Oktoba 7 – DW – 07.10.2024

Maandamano ya kuadhimisha kumbukumbu ya mwaka mmoja wa mashambulizi ya Oktoba 7 dhidi ya Israel na vita katika Ukanda wa Gaza yamefanyika katika miji ya Berlin, Düsseldorf, Hamburg na Munich na mengine yakigubikwa na ghasia. Polisi walishika doria ili kuhakikisha maandamano hayo yanafanyika kwa amani, japo yaligeuka na kuwa ya vurugu mjini Berlin wakati waandamanaji wanaoiunga mkono…

Read More

WAZIRI MKUU ASHUHUDIA MAZOEZI YA TAIFA STARS

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na  wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (TAIFAR STARS)  kwenye uwanja wa mazoezi wa TRA , Mivinjeni jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mazoezi ya timu ya Taifa ya  mpira wa…

Read More