
Wadau wa ELIMU wajadili mustakabali wa elimu ya kujitegemea
CHUO Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kimewakutanisha wadau mbalimbali wa elimu kutoka ndani na nje ya Tanzania katika kongamano linalolenga kujadili dhana ya elimu ya kujitegemea na umuhimu wake katika maendeleo ya jamii. Kongamano hilo linalofanyika chuoni hapo kwa kushirikiana na Chuo cha VIA cha Denmark, limefunguliwa rasmi leo na Naibu Katibu Mkuu wa…