
NSSF yatumia fursa ya Maonesho ya Madini Geita kutoa elimu ya Hifadhi ya Jamii
Na MWANDISHI WETU GEITA. Maonesho ya Saba ya Teknolojia ya Madini yamefunguliwa rasmi na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ambapo Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) unatumia Maonesho hayo kuendelea kutoa elimu ya hifadhi ya jamii kwa sekta binafsi na sekta isiyo rasmi ikiwemo Sekta ya Madini….