
DKT. BITEKO AWAASA WANAJAMII KUTENDA MEMA,KUACHA ALAMA
Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewaasa wanajamii kutenda matendo mema ya kuigwa na vizazi vijavyo ili kuweka historia na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Dkt. Biteko amesema hayo leo Oktoba 6, 2024 katika Ibada ya Kumbukizi ya Askofu wa…