ALAF Yazindua Jogging Club Kuimarisha Afya Ya Wafanyakazi

AFISA Mtendahji Mkuu wa ALAF Limited, Ashish Mistry (mwenye miwani) akiongoza wafanyakazi wa kampuni hiyo katika kufanya mazoezi ya kunyoosha viungo (aerobics) wakati wa uzinduzi wa ALAF Jogging Club kiwandani hapo Jumamosi. KATIKA hali ya kuhakikisha wafanyakazi wanazalisha kwa ufanisi zaidi, ALAF Limited Tanzania imezindua ALAF Jogging Club ambayo pamoja na mambo mengine itahakikisha wafanyakazi…

Read More

Watumishi CBE wahimizwa kuishi kwa upendo

  Wutumishi wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi kuu ya Dar es Salaam wamehimizwa kuishi kwa upendo na kushirikiana muda wote wanapokuwa katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku ili kutoa huduma bora. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Akizungumza leo Oktoba 04, 2024 Kampasi kuu ya Dar es Salaam katika…

Read More

MKUU WA MISHENI YA UANGALIZI WA UCHAGUZI YA SADC NCHINI MSUMBIJI AENDELEA KUKUTANA NA WADAU WA UCHAGUZI NCHINI MSUMBIJI

Ujumbe wa Mhe. Dkt. Karume kwenye mikutano hiyo uliwajumuisha Wajumbe wa Troika kutoka Tanzania, Zambia na Malawi, Sekretarieti ya SADC akiwemo Mkurugenzi wa Organ , Prof. Kula Ishmael Theletsane na Wajumbe wa Baraza la Ushauri wa masuala ya Uchaguzi la SADC (SEAC). Wajumbe wa Troika kutoka Tanzania walioshiriki ni pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa…

Read More

Vijana Morogoro watakiwa kugombea uchaguzi Serikali za Mitaa

Vijana wametakiwa kujitokeza kugombea kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu ukitanguliwa na zoezi la kujiandikisha kuanzia octoba 11 hadi 20 mwaka huu. Wito huo umetolewa na mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mussa Kilakala baada ya kuhitimisha zoezi la mbio za pole zizilolenga kuhamasha wananchi kujitokeza katika zoezi hilo. DC…

Read More

Boni Yai ashinda uchaguzi Kanda ya Pwani akiwa gerezani

  BONIFACE Jacob kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ameibuka mshindi kwa nafasi ya Mwenyekiti kanda ya Pwani mara baada ya kupata kura 60 sawa na 77%. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Boni ambaye ameshinda nafasi hiyo huku akiwa mahabusi akikabiliwa na kesi, inayoendelea kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu…

Read More