
Mwinyi “Tutashirikiana na sekta binafsi kufikia malengo ya afya”
Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi amesema wanahitaji kuimarisha ushirikiano sekta binafsi na washirika wa maendeleo ili kufikia malengo ya afya bora kwa wananchi wote na kuondosha changamoto zinazoikabili sekta hiyo. Changamoto hizo ni kupunguza vifo vya mama na mtoto, upatikanaji wa dawa muhimu, uimarishaji wa miundombinu ya afya, upatikanaji wa taarifa za afya, udhibiti…