
WAJASIRIAMALI WAMPONGEZA RAIS SAMIA KUWAWEZESHA KUSHIRIKI MAONESHO YA NGUVU KAZI – JUA KALI SUDAN YA KUSINI
Sehemu ya wajasiriamali wa Tanzania wakiwa na Wateja waliotembelea banda la Tanzania kweye maonesho 24 ya Wajasiriamali Wadogo na wa Kati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki maarufu Nguvu Kazu au Jua kali yanayoendelea katika viwanja vya Freedom Hall jijini Juba, Sudan ya Kusini. Na: Mwandishi Wetu – Juba, Sudan ya Kusini WAJASIRIAMALI kutoka maeneo mbalimbali…