Marekani yashambulia ngome 15 za Wahouthi, Yemen – DW – 05.10.2024

Kulingana na televisheni ya wanamgambo wa Houthi Al Masirah, mashambulizi hayo yamelenga maeneo 4 tu. Marekani na Uingereza zimekuwa zikifanya mashambulizi yenye lengo la kuusitisha uwezo wa Wahouthi kuzishambulia meli, ila mashambulizi ya waasi hao kwa meli zinazopitia Bahari ya Shamu na Ghuba ya Aden, yameendelea. “Kamandi Kuu ya Marekani (CENTCOM) imefanya mashambulizi ikilenga ngome…

Read More

DIDAH WA WASAFI MEDIA AFARIKI DUNIA

Mtangazaji wa Kipindi cha Mashamsham cha WasafiFM Khadija Shaibu maarufu kama Didah, amefariki dunia jioni ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es salaam alikokuwa amelazwa. Didah ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 42, kifo chake kimetokea siku kumi na sita (16) toka Wafuasi wake washuhudie ukimya wake katika mitandao ya kijamii…

Read More

WAZIRI JAFO ATOA USHAURI KWA BODI MPYA YA WAKURUGENZI FCC

WAZIRI wa Viwanda na  Biashara Mh.Suleiman Jafo ameishauri bodi mpya ya  Wakurugenzi wa Tume ya Ushindani( FCC) kuhakikisha inakutana na kufanya kikao  haraka kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali pamoja na kupitia mambo yote yanayotakiwa kupatiwa ufumbuzi kuhusu masuala ya uwekezaji nchini. Ametoa ushauri huo leo Oktoba 4,2024  Dar es Salaam alipokuwa akizindua bodi hiyo,…

Read More

Tume yatakiwa itafute mwarobaini kero za kodi

  Rais Samia Suluhu Hassan, amesema mfumo mzuri wa ukusanyaji na ulipaji wa kodi, utafanikisha lengo la kujenga uchumi jumuishi na unaokua kwa kasi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Ameyasema hayo leo Ijumaa tarehe 04 Oktoba 2024, alipokuwa akizindua Tume ya Kutathmini na Kushauri kuhusu Masuala ya Kodi, aliyoiunda hivi karibuni. Amesema…

Read More

MSONDO NGOMA KUADHIMISHA MIAKA 60 GWAMBINA

Na.Khadija Seif, Michuziblog BENDI ya Msondo Ngoma yawaalika Mashabiki zake kuhudhuria Tamasha la Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa bendi hiyo. Akizungumza na Wanahabari Leo Oktoba 04,2024 Jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Kamati ya Tamasha hilo Said Kibiriti amesema bendi hiyo imekuwa Mfano wa kuigwa katika tasnia ya Muziki kutokana na kuhudumu kwa Miaka mingi…

Read More

TIC, AIRTEL WASAINI MAKUBALIANO KUKUZA UWEKEZAJI NCHINI

  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Dinesh Balsingh wakibadilishana mikataba mara baada ya kusaini makubaliano ya miaka miwili ili kuvutia wawekezaji nchini.  Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Gilead Teri akizungumza jijini Dar es Salaam leo Oktoba 04, 2024 wakati wa kusaini…

Read More