
Tamasha la miaka 60 ya Msondo Ngoma kufanyika Oktoba 26
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Bendi maarufu ya muziki wa dansi nchini Tanzania, Msondo Ngoma Music Band, inatarajia kuadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwake kwa tamasha maalum litakalofanyika Oktoba 26, 2024, katika viwanja vya Gwambina Lounge (zamani TCC Club) Changombe, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na waandishi wa habari, Meneja wa bendi hiyo, Saidi Kibiriti,…