
Bil. 17.9 kusambaza umeme vitongoji 166 Morogoro
Na Mwandishi Wetu, Morogoro Jumla ya vitongoji 166 mkoani Morogoro vinatarajiwa kupata umeme baada ya Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kumtambulisha Mkandarasi aliyeshinda zabuni ya kupeleka umeme katika vitongoji hivyo ili aanze kazi. Mradi huo wenye gharama ya shilingi bilioni 17.9 unatarajiwa kutekelezwa katika kipindi cha miezi 24 na utakapokamilika utanufaisha zaidi ya…