
Umoja wa Mataifa wawaomba wafadhili kuisaidia Somalia – DW – 04.10.2024
Afisa huyo wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia alisema kwamba amesikitishwa mno na mashambulizi ya kigaidi yanayofanywa na kundi la wanamgambo la al-Shabaab. “Vita dhidi ya ugaidi unaofanywa na wanamgambo wa al-Shabaab bado ni swala nyeti la kiusalama linalozidi kupewa kipaumbele na serikali ya Somalia. Pamoja na kupiga hatua kubwa kupambana na magaidi hao, Somalia inakabiliwa…