Ripoti inaangazia uhusiano kati ya ulanguzi wa watoto na ukiukaji mkubwa wakati wa migogoro – Masuala ya Ulimwenguni

The ripoti – ya kwanza ya aina yake – inachambua uhusiano kati ya ulanguzi wa watoto na ukiukwaji mkubwa sita dhidi ya watoto waliopatikana katika vita. Ni kuajiri na kutumia, kuua na kulemaza, ubakaji na aina nyingine za unyanyasaji wa kijinsia, utekaji nyara, mashambulizi dhidi ya shule na hospitali, na kunyimwa haki za kibinadamu. Ilitolewa…

Read More

TCU yafungua dirisha jipya udahili elimu ya juu

  Tume ya Vyuo Vikuu nchini (TCU), imefungua awamu ya tatu ya udahili wa wanafunzi wanaohitaji kujiunga na elimu ya juu, kutuma maombi ndani ya siku tano (5), kuanzia kesho. Anaripoti Restuta James, Dar es Salaam  (endelea). Katibu Mtendaji wa TCU, Prof. Charles Kihampa, ametangaza kufunguliwa kwa awamu hiyo kupitia taarifa yake, aliyoitoa leo tarehe…

Read More

Watu 78 wafariki baada ya boti kuzama Kongo, 58 waokolewa

  TAKRIBAN watu 78 wamefariki dunia, baada ya boti kupinduka katika Ziwa Kivu, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo jana. Taarifa zinaeleza kuwa zaidi ya watu 100 waliokuwa wamepanda boti hiyo hawajulikani walipo. Gavana wa Jimbo la Kivu Kusini, Jean Jacques Purisi, amethibitisha taarifa hizo, na kuongeza kuwa watu 278 walikuwa wamepanda boti hiyo,…

Read More

Wanaomiliki silaha kinyemela waitwa polisi

  JESHI la Polisi nchini, limewataka wamiliki wa silaha kinyume cha sheria, kuzisalimisha kabla ya tarehe 31 Oktoba 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa ya Msemaji wa Jeshi la Polisi, DCP David Misime, kwa umma leo imeeleza kuwa watakaojitokeza kuzisalimisha kwa hiari hawatashtakiwa. Katika taarifa hiyo, Misime amesema msamaha huo ulitolewa…

Read More

Gachagua akimbilia mahakamani kuzuia kufukuzwa

  NAIBU Rais wa Kenya Rigathi Gachagua ambaye anakabiliwa na tuhuma mbalimbali, ikiwemo ukosefu wa nidhamu na kumhujumu mkuu wake Rais William Ruto amekimbília mahakani Vyombo vya habari nchini Kenya vimeripoti kwamba Gachagua siku ya amewasilisha ombi katika mahakama mjini Nairobi akitaka kusitishwa mchakato wa kumuondoa katika nafasi yake ulioanzishwa dhidi yake na wabunge mapema…

Read More

TPDC yafafanua juu ya msongamano wa magari vituo vya Gesi

Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Shirika la Petroli Tanzania (TPDC) limefafanua changamoto ya hivi karibuni iliyosababisha msongamano wa magari kwenye vituo vya kujazia gesi, hususan Kituo cha Airport jijini Dar es Salaam. Tatizo hilo limesababishwa na hitilafu ya umeme, hali iliyosababisha foleni kubwa ya magari yaliyokuwa yakisubiri huduma ya gesi. Kaimu Mkurugenzi wa Biashara ya…

Read More

Rais Mwinyi akutana na Rais wa Samsung C&T

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema, Zanzibar inaendelea kuleta mageuzi makubwa ya miundombinu kwa lengo la kuwavutia wawekezaji. Rais Dk. Mwinyi ameyasema hayo leo tarehe 4 Oktoba 2024, Ikulu Zanzibar alipokutana na Rais wa Kampuni ya Samsung C& T Corporation Oh Se-Chul kutoka Korea Kusini na ujumbe…

Read More