MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA MFALME WA LESOTHO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Mfalme wa Lesotho Mfalme Letsie III katika Ikulu ya Kifalme iliyopo Maseru nchini humo. Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha ushirikiano baina ya Tanzania na Lesotho. Makamu wa Rais anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt….

Read More

Wadau wa afya nchini wajadili umuhimu wa kuwekeza katika kinga ya magonjwa yasioambukizwa na yanayoambukiza

Mkurugenzi wa Mtendaji wa THPS Dkt.Redempta Mbatia akiwa katika Mduara ‘Panel’ wakati wa uwasilshaji wa mada katika Jukwaa la Afya kwenye mkutano wa 11 wadau wa Afya Tanzania (THS) lililondaliwa na THPS kwa kushirikiana na Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa cha Marekani (US. CDC) lilofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Maonesho ya Biashara ya…

Read More

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI NCHINI LESOTHO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi wa Lesotho Mhe.Neo Matjato Moteane wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Maseru nchini Lesotho leo tarehe 04 Oktoba 2024. Makamu wa Rais anamwakilisha kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe….

Read More

Migomo mikali nchini Ukraine, haki lazima ipatikane kwa vifo vya watu waliokuwa chini ya ulinzi, FIFA yahimizwa kupinga uvunjaji wa sheria unaofanywa na vilabu vya Israeli – Masuala ya Ulimwenguni

Mashambulizi katika mji huo wa kaskazini-mashariki yaliwaua au kuwajeruhi zaidi ya watu 190 mwezi Septemba pekee, alisema mratibu mkuu wa Umoja wa Mataifa wa misaada nchini Ukraine, Matthias Schmale. “Wazo moja linalonijia ni kiwewe cha kiakili ambacho watu wanateseka kutokana na migomo hii ya mara kwa mara,” aliendelea. “Mnamo Septemba pekee, kulikuwa na migomo 53…

Read More

Serikali, Wadau wajikita kutatua changamoto zinazowakabili watoto wa Kike nchini.

 KATIBU Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum,Amon Mpanju amesema Serikali,kupitia wizara za kisekta kwa kushirikiana na wadau wamejikita kuhakikisha wanalenga kutatua changamoto zinazowakabili watoto wa kike nchini,ambazo zinatokana na kiwango kikubwa na mifarakano na migogoro kwa ngazi ya familia. Ameyasema hayo Jana jijini Dar es Salaam wakati akiongea na waandishi wa…

Read More

MBEGU ZA MITI YA ASILI KUONGEZA UHIFADHI ENDELEVU

  Wataalamu na taasisi zinazohusika na utoaji wa taaluma na utafiti wa Misitu wametakiwa kutumia taaluma zao kufanya tafiti zitakazo saidia kuishawishi Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzisha ‘stoo’ ya mbegu ya muda mrefu (Genebank) ya miti ya asili ili kuepuka na kukabiliana na hatari za kupoteza vizazi vya miti ya asili na…

Read More