
Kim atishia kuisambaratisha Korea Kusini kwa nyuklia – DW – 04.10.2024
Haya ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari nchini humo. Hii ni baada ya kiongozi wa Korea Kusini kuuonya utawala wa Kim kwamba utaangushwa iwapo atathubutu kutumia zana za nyuklia. Kim ametoa kauli hiyo wakati alipofanya ziara katika kitengo cha operesheni maalum cha jeshi. “Iwapo Korea Kusini itajaribu kutumia jeshi kuingilia uhuru wa…